Mwanafunzi asimulia walivyofyetuliwa risasi msikitini na bweni la wasichana Garissa

Angazo
Typography

Kulingana na mwanafunzi aliyekuwepo katika mkasa huo Abdul Aziz Yakub, magaidi hao waliwauwa walinzi wawili wa chuo hicho kabla ya kuvamia watu waliokuwa msikitini wakiswali. 

Magaidi hao kisha walielekea katika bweni la wanafunzi wa kike ambapo waliuwa wanafunzi wengi hao.

Mwanahabari wetu Ibrahim Jaafar Olum amefanya mahojiano na mwanafunzi huyo.

LIVE RadioRahma via the App