Manusura kutoka Yemen waeleza hali ilivyo

Angazo
Typography

Baadhi ya manusura hao hapa Mombasa wamemueleza mwanahabari wetu namna hali ilivyokuwa katika taifa hilo. 

Mwanahabari wetu Aisha Aroi amezungumza na Najah Ahmed mkaazi wa Kizingo aliyewasili Mombasa kutoka Yemen na familia yake.

Download/Stream Audio

LIVE RadioRahma via the App