Chief kadhi apongeza vita vya mihadarati

Angazo
Typography

Akizungumuza na mwanahabari wetu katika mahakama kuu ya Kadhi hapa jijini Mombasa Sheikh Muhdhar ameiomba serikali kuendelea na vita dhidhi ya mihadarati kando na kueledeleza vita hivyo  musimu wa siasa pekee.

Aidha amewataka wananchi kushirikiana na maafisa usalama ili kufanikisha vita hivyo katika kanda ya pwani.

Vile vile ametaja ukesefu wa ajira kama chanzo kuu kwa vijana kujiingiza katika utumizi wa dawa za kulevya na kuomba serikali kubuni ajira kwa vijana kama njia moja wapo wa kukabiliana na utumizi wa mihadharati.