Wauguzi kaunti ya Lamu wandamana mjini Mpeketoni.

Angazo
Typography

Wakiongozwa na katibu kutoka tawi la muungano wa wauguzi nchini KNUN kaunti ya Kilifi  Clisetus Nyangau waguzi hao wameapa kutofanya mazungumuzo wa kando na ofisi ya gavana wa Lamu Isa Timamy na kusisitiza wanaungana na wauguzi kote nchini ili kupigania haki yao.

wauguzi hao waliandamana katika mitaa mjini mpeketoni na kuwahutubia wanahabari mbele ya hospitali ya Mpeketoni na kusisitiza kamwe hawatarudi kazini hadi serikali na baraza la magavana kukubali kutia sahihi mkataba wa maelewano.

vile vile wamesema wataendelea na mandamano hayo katika mjini wa Amu siku ya jumamosi iwapo hakutakuwepo kwa suluhu ya matatizo yao.