Matangi ya petroli yashika moto Mbaraki.

Angazo
Typography

Matangi ya mafuta ya petroli ya kampuni ya Mbaraki Bulk Terminal Ltd yameshika moto eneo la Mbaraki muda mchache uliopita. 

Moshi mkubwa unaonekana katika eneo hilo kwa sasa.

Kufikia sasa chanzo cha moto huo hakijulikani.

Watu kadhaa wamepata majeraha na wamekimbizwa hospitalini.

Maafisa wa zima moto wamefika eneo hilo kupambana na moto huo.

More to follow.