Raila:Nasa yasusia marudio ya uchaguzi wa uraisi.

Angazo
Typography

BREAKING NEWS:

Mrengo wa Nasa umejitoa kwenye marudio ya uchaguzi wa uraisi wa Oktoba 26 mwaka huu.

Kinara wa Nasa Raila Odinga amesema hawako tayari kwa uchaguzi huo baada ya matakwa yao kupuuzwa.

Raila amesema Jubilee haijali kanuni za uchaguzi na haifati katiba ya nchi.

Aidha, amesema kuwa muungano wa nchi za ulaya ilitoa mapendekezo lakini pia yakapuuzwa.

Ameongeza kuwa uchaguzi wa Oktoba 26 utavurugwa kabisa.