Watu wawili wafariki na wengine saba kupata majereha baada ya kuangukiwa na nyumba.

Angazo
Typography

Watu 2 wamedhibitishwa kufariki na wengine saba kusalia na majeraha baada ya nyumba walimokua kuporomoka eneo la Kware huko Embakasi kaunti ya Nairobi.

 Inaripotiwa nyumba hiyo ilikua katika hali mbaya na ilionyesha ishara za kuporomoka.

Shuguli za uokozi zingali zinaendeshwa na maafisa wa shirika la msalaba mwekundu na wale wa kaunti ya Nairobi.