Kaunti ya Mombasa inatarajiwa kuwa na kinyang’anyiro kikali katika uchaguzi mkuu ujao ambapo gavana Hassan Ali Joho anatarajiwa kupokea ushindani mkali kutoka kwa wapinzani wake.

Vyama vya kisiasa kumi vinavyounda mrengo wa Jubilee vimekataa chama cha JAP na kukubaliana kuunda chama kipya kitakachojulikana kama Jubilee.

More Articles...