Wanawake wapigana ndani ya Feri kwasababu ya Mume

Taarifa Za Kaunti
Typography

Wanawake wawili wamepigana ndani ya feri wakizozania mwanamume.

Wanawake wawili wamepigana ndani ya feri wakizozania mwanamume.

Wanawake hao walikabana mbele za abiria kwa kuminyana na kuruhushiana maneno ya kashfa.

Abiria walijaribu kuwakanya wanawake hao kwa kuwatengeanisha ila haikuwa kazi rahisi.

Baadhi ya wanawake waliokasirishwa na tendo hilo walianza kuwatishia kuwa wangewaadhibu.

Mwanamume aliyezozaniwa hakujulikani bali kila mmoja alidai kummiliki mume huyo.

Kwa upande wake ustadhi Muhdhar amehimiza jamii kuzingatia mafundisho ya dini ili kuepuka visa kama hivyo.

Akilizungumzia tukio hilo mwanahabari wetu Ustadhi Omar al Muhdhar amesema ukosefu wa dini umechangia jamii kutenda mambo ya aibu hadharani bila kujali.

Hata hivyo baadhi ya wanawake wamedai kuwa ungomvi huo umesababishwa na wanaume wasio waadilifu kwa wake zao sambamba na wanaume wengi kujihusisha na mahawara.