Bei ya mafuta ya taa yapanda

Uchumi/Biashara
Typography

Jijini Mombasa lita moja ya mafuta ya taa itauzwa kwa shilingi 41, dizeli shilingi 62 na super petrol kwa shilingi 77.43.

Jijini Nairobi mafuta ya Super Petrol yatauzwa kwa shilingi  80, Diesel shilingi 66 na mafuta ya taa shilingi  43. 

Bei hizo zinaanza saa sita za usiku hii leo.