Uchumi wa taifa wakua

Uchumi/Biashara
Typography

Serikali imeeleza kwamba kichocheo cha uchumi kukua ni kupanika kwa sekta ya kilimo, sekta ya ujenzi na biashara katika sekta ya nyumba za kisasa.

Haidha sekta ya viwanda imepanda kwa asilimia 3.5 kwa ajili ya bei ya chini ya kawi.

Sekta ya utalii katika kipindi cha mwaka 2015 ilishukwa kwa silimia 3 kutokana na kushuka kwa watalii kutoka mataifa ya nje kwa asilimia 12.

Katika ripoti iliyotolewa na idara ya takwimu nchini inaonyesha kuwa serikali ya Jubilee imebuni nafasi za kazi laki nane na elfu arobaini na moja ammbapo ni ongezeko la asilimia tano.