25
Sun, Feb

Mali ghushi za thamani ya shilingi milioni 7 zachomwa Mombasa

Uchumi/Biashara
Typography

Bidha hizo ghushi zimetoka nchi za nje ambapo zimekuwa zikiingia humu nchini kwa kutumia nembo za kampuni maarufu za utengenezaji bidha.

Mali hiyo sukari,  vifaa vya nguvu za umeme vyenye chapa ya Philips  pamoja na simu za aina ya Tecno.

Idara hiyo imepata kibali kutoka kwa mahakama baada ya wahalifu kufikishwa mahakamani na kampuni halali ambazo tayari katika nchi ze nje zimepigwa marufuku kwa sababu ya bidha ghushi zinasombazwa kwa nembo zao.

Mkurugenzi mkuu wa idara hiyo John Akoden amesema ufisadi na wanabiashara ambao hutaka mali za rahisi wamechangia kukua kwa biashara hiyo.