Mpinzani mkuu katika uchaguzi mkuu uliomalizika nchini Uganda, Dkt Kizza Besigye, amekatalia mbali matokeo ya uchaguzi huo, uliofanyika siku ya Alhamisi.

Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma anakabiliwa na kura ya kutokuwa na imani naye bungeni leo, ikiwa ni mara ya pili katika kipindi kisichozidi mwaka mmoja,pamoja na jaribio la kisheria kurudisha mashtaka ya rushwa dhidi yake.

Umoja wa Afrika umeamua utapeleka ujumbe maalum nchini Burundi kujaribu kuishinikiza serikali ya nchi hiyo kuridhia jeshi la kulinda amani baada ya rais Nkurunzinza kuipinga hatua hiyo.

Rais wa Rwanda Paul Kagame ametangaza kwamba atawania urais kwa muhula wa tatu baada ya muhula wake wa sasa kumalizika 2017.

More Articles...