Vikosi vya usalama nchini Uturuki vinasema kuwa zaidi ya maafisa 8,000 wa polisi wamefutwa kazi, kufuatia jaribio la mapinduzi lililozimwa wiki iliyopita.

Chama cha AK cha Uturuki kimepata viti vingi vya bunge vitakavyoweza kudhibiti bunge la nchi hiyo baada ya kupoteza miezi mitano iliyopita.

Boris Nemtsov , kiongozi  mwenye mvuto  wa  upinzani na  mkosoaji mkubwa  wa  rais Vladimir  Putin, amepigwa  risasi  leo  karibu  na makao  makuu  ya  serikali  ya  Urusi , siku  moja  kabla ya maandamano  aliyokuwa akipanga kufanywa  dhidi  ya  serikali kupinga kile alichokitaja kuwa vita vinavyoendeshwa na Urusi nchini Ukrain.

More Articles...