25
Sun, Feb

Boris Nemtsov , kiongozi  mwenye mvuto  wa  upinzani na  mkosoaji mkubwa  wa  rais Vladimir  Putin, amepigwa  risasi  leo  karibu  na makao  makuu  ya  serikali  ya  Urusi , siku  moja  kabla ya maandamano  aliyokuwa akipanga kufanywa  dhidi  ya  serikali kupinga kile alichokitaja kuwa vita vinavyoendeshwa na Urusi nchini Ukrain.

More Articles...