25
Sun, Feb

Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Medina nchini Saudi Arabia, shuhuda wa tukio hilo anaeleza kwamba mtu aliyejitoa muhanga alifyatua kitufe cha kujilipulia karibu na msikiti mkubwa wa Mtume, ambapo msikiti huo ni mmoja wapo ya eneo takatifu kwa Waislamu.

Zaidi ya watu 700 waliokuwa wakishiriki ibada ya hija wamefariki kwenye mkanyagano uliotokea katika mji mtakatifu wa Kiislamu wa Mecca, maafisa nchini Saudi Arabia wamesema.

Kiongozi wa kidini wa Iran , Ayatollah Khamenei, ameitaka Saudi Arabia kuomba msamaha, kufuatia mauwaji ya msongamano wa mahujaji huko Mecca siku ya Alhamisi ambapo zaidi ya watu 760 walifariki.

More Articles...