Mabadiliko ya tuzo ya FIFA Ballon d’Or

Football
Typography

Kuanzia mwaka huu tuzo ya mchezaji bora duniani itatolewa kwa kuzingatia kanuni zifuatazo zilizofanyiwa mabadiliko;

-Jopo litakaloteuwa wachezaji bora duniani litajumuisha vinara wa timu waliohudumu kwa miaka 6, makocha na wanahabari kote duniani.

-Orodha ya wagombea tuzo ya mchezaji bora duniani itajumuisha wachezaji 30 badala ya 23.

-Hakutokuwa na mchakato wa kubainisha wagombea 3 bora kabla ya tuzo kutolewa.

-Mshindi wa tuzo hiyo atatangazwa kabla ya mwaka kuisha.

Tuzo ya mchezaji bora ilikuwa ikitolewa kwa jina la FIFA Golden Ball kati ya mwaka 1956-2009 na baadaye kubadilishwa kuwa FIFA Ballon d’Or kuanzia mwaka 2010 hadi waleo.

TRT