25
Sun, Feb

Bamba Sport kuzinduliwa kupeperusha mechi za ligi kuu nchini

Football
Typography

Mechi za ligi kuu humu nchini hazipelekwa moja kwa moja tangu mwezi Machi mwaka huu baada ya shirika la Afrika kusini la Super sport kujiondoa wakisema mkataba ulikiukwa.

KPL na FKF hatimaye wameafikiana na Bamba ambayo ni idhaa ya shirika la Radio Africa kupeperusha mechi za ligi kuu moja kwa moja hadi mwishoni mwa msimu huu ambapo baadaye wataweka mikakati mengine.

Bamba sports wamekuwa wakionyesha mechi za ligi ya daraja la pili ya Super league na inasemekana kuwa heunda wasionyeshe tena kwa kuzingatia ligi kuu