Kaunti ya Mombasa yaanzisha hamasisho juu ya BBI
Kaunti ya Mombasa imeanzisha rasmi vikao vya kuelimisha umma kuhusu ripoti ya mswaada wa marekebisho ya katiba wa BBI.
Kaunti ya Mombasa imeanzisha rasmi vikao vya kuelimisha umma kuhusu ripoti ya mswaada wa marekebisho ya katiba wa BBI.
Baraza kuu la waislamu nchini SUPKEM limeyataka mashirika mengine ya kiislamu kujiepusha na mirengo ya kisiasa.
Visa 126 vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi kutoka shule za msingi na zile za upili kaunti ndogo ya Taveta kaunti ya Taita Taveta vimeripotiwa.
Wanaharakati wa shirika la kutetea haki za binadamu la Muhuri wamefikishwa mahakamani Mombasa kwa tuhuma za kuzua rabsha katika kivuko cha Likoni Feri.
Rais Uhuru Kenyatta amewahimiza wakenya kuunga mkono Mpango wa maridhiano wa BBI, akisema utaongeza kiasi cha rasilimali za maendeleo zinazotengewa serikali za ugatuzi mashinani.