Nipe Sodo na miti nikupe chupa za plastiki tukabili mabadiliko ya tabianchi
Utunzaji wa mazingira umekua changamoto kubwa sana kote ulimwenguni kwani mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri vigezo vingi katika jamii ikiwemo afya, hewa safi, maji safi ya kunywa, chakula na makazi salama.