Wizara ya ICT yazindua mpango wa kitaifa wa kidijitali wa mwaka 2022/2030
Serikali kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia nchini Imezindua mpango mkuu wa kitaifa wa kidijitali wa mwaka 2022-2030 kuelekeza nchi mbele kuhusu uwekezaji wa mawasiliano na teknolojia kwa lengo la kuharakisha mageuzi ya kidijitali.