Messi avunja rekodi ya Xavi
Lionel Messi anaendelea kuvunja rekodi askiwa na klabu yake ya Barcelona baada ya kuandikisha historia nyengine kwenye mechi ya La liga hapo jana iliyoishia sare ya bao moja dhidi ya Cadiz.
Lionel Messi anaendelea kuvunja rekodi askiwa na klabu yake ya Barcelona baada ya kuandikisha historia nyengine kwenye mechi ya La liga hapo jana iliyoishia sare ya bao moja dhidi ya Cadiz.
Magongo Rangers ilitoka sare ya bao moja na Crossroads katika mechi ya ligi ya primia ya hapa Mombasa mnamo jumamosi. Kwenye mechi nyengine Junda strikers ilitoka sare ya bao moja na Bamburi United.
Manchester City waliizaba Swansea City 3-1 kwenye mechi ya kombe la FA jana usiku na kutinga katika raundi inayofuata ya michuano hiyo.
Mshambuliaji wa Juventus Cristiano Ronaldo anachunguzwa na maafisa wa polisi wa Itali kuhusu safari aliokwenda ili kusherehekea siku ya kuzaliwa na mpenzi wake.
Barcelona walitandikwa mabao 4-1 kwenye mechi yao ya ligi bingwa dhidi ya PSG iliyogaragazwa jana huku ikiwa mara yao ya kwanza katika historia kupoteza mechi ya mzunguko wa 16.