Rais Uhuru Kenyatta ametangaza kwenye gazeti la serikali kikao cha kwanza cha Bunge la Kitaifa na Seneti.
Kikao hicho kitafanyika Alhamisi, Septemba 8, 2022 saa 9:00 asubuhi ambapo maseneta wote 290 na 47 wataapishwa .
Haya ni kwa mujibu wa notisi ya gazeti la serikali ya Septemba 5, 2022