Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano imepanga kuchapisha orodha ya maneno ya Kiswahili, Kiingereza na lugha za kienyeji ambayo yatajumuisha matamshi ya chuki.

Mwenyekiti wa NCIC Samuel Kobia amesema maneno hayo yatapigwa marufuku kuanzia sasa katika mikutano ya hadhara, machapisho ya mitandao ya kijamii na vipindi vya mazungumzo ya kisiasa.

Ripota wetu Silvia Maina  anatujuza kwa ukamilifu


 

More Stories

Miraa na Mgoka kupigwa marufuku Mombasa

Wanafunzi kurudi shuleni juma lijalo

Vita dhidi ya mihadarati vyapamba moto Pwani