Wafanyibiashara katika eneo la Diani kaunti ya Kwale wamelalamikia ongezeko la visa vya utovu wa usalama vinavyoathiri pakubwa shughuli za wakaazi kwenye sehemu za masoko na barabarani.

Wakiongozwa na Richard Onsongo, wafanyibiashara hao wamesema kuwa visa hivyo vinatekelezwa na magenge ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 18 waliojihami kwa silaha hatari.

Mwanaharusi Rashid na taarifa zaidi