Uregeshaji wa Matumbawe: Tumaini kwa wavuvi Kwale
Familia nyingi zinazopakana na fuo za bahari hutegemea uvuvi kama kitega uchumi chao.
Familia nyingi zinazopakana na fuo za bahari hutegemea uvuvi kama kitega uchumi chao.
Tabitha Kisinga ni mkulima ambaye alikua akitegemea sana mvua kutekeleza shughuli zake za kilimo. Ni mama wa watoto kumi.
Baada ya Shirika la Afya Duniani (WHO) kuidhinisha matumizi ya chanjo ya malaria, baadhi ya watu sasa wanaeneza uvumi kuwa mchanganyiko wa chanjo ya malaria na chanjo ya corona ni tiba ya ugonjwa wa corona.
Mchezo wa Mpira wa miguu maarufu zaidi kama kandanda au soka, ni mchezo wa timu unaochezwa kwa kutumia mpira wa duara kati ya timu mbili za wachezaji 11 kila timu.Inakadiriwa kuwa mchezo huo unachezwa na wachezaji milioni 250 duniani huku soka ikiwa ndiyo mchezo unaopendwa zaidi duniani.
Wengi hufahamu jina mabuyu yaliyozoeleka kuliwa kwa kumumunya utamu wake ambapo hupikwa kwa kuchanganya na sukari, rangi iwe ya kijani nyekundu au hata njano pamoja na viungo vyengine ambapo badae huuzwa katika pakiti kati ya shilingi 5-50.