Serikali ya kaunti ya Kwale kusajili watu wenye ulemavu wa ngozi
Serikali ya kaunti ya Kwale kupitia wizara ya maswala ya huduma za jamii inalenga kuanzisha zoezi la usajili watu wenye walemavu wa ngozi ili kutambua idadi yao kaunti hiyo.
Serikali ya kaunti ya Kwale kupitia wizara ya maswala ya huduma za jamii inalenga kuanzisha zoezi la usajili watu wenye walemavu wa ngozi ili kutambua idadi yao kaunti hiyo.
Naibu Rais, Rigathi Gachagua anaamini kwamba kakake marehemu na Gavana wa Nyeri wakati huo Nderitu Gachagua alilishwa sumu na watu aliowataja kama wauzaji katika sekta ya kahawa.
Gavana wa kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameiomba serikali kuu kuondoa ada ya Visa wanayotozwa watalii wanaozuru Mombasa kupitia usafiri wa baharini.
Wakaazi wa kaunti ya Kwale wameonywa dhidi ya kuyauza mashamba yao kiholela kwa waekezaji wanaokuja kuwekeza katika kaunti hiyo.
Vijana wa kiume katika kaunti ya Lamu wamehimizwa kukoma kutumia wanawake kama kitega uchumi na badala yake wafanye kazi.