Kaunti ya Kwale kuimarisha mikakati ya kuvutia waekezaji
Serikali ya kaunti ya Kwale imeanzisha mikakati ya kuinadi kaunti hiyo ili kuvutia waekezaji mbalimbali ikiwemo wa kujenga nyumba za kisasa za kuishi ili kuchukua mkondo mpya wa kitalii kwa wanao zuru eneo la Diani.