Magavana wa Pwani wataka kampuni ya Coast Waters kubinifasiwa
Magavana wa Pwani chini ya muumgano wa Jumuiya Ya Kaunti Za Pwani wametoa mapendekezo ya kutaka kubinfsishwa kwa kampuni ya usambazaji maji Pwani, Coast Waters.
Magavana wa Pwani chini ya muumgano wa Jumuiya Ya Kaunti Za Pwani wametoa mapendekezo ya kutaka kubinfsishwa kwa kampuni ya usambazaji maji Pwani, Coast Waters.
Mashirika ya kijamii katika kaunti ya Kilifi yameishinikiza serikali ya kaunti ya Kilifi kuunda mbinu bora za kukabiliana na tatizo la ajira miongoni mwa vijana.
Zaidi ya asilimia 89 ya majaa yamefungwa katika kaunti ya Mombasa hadi kufikia sasa.
Wakazi katika kaunti ya Kilifi wameeleza matumaini yao kuwa huenda baa la njaa likatatuliwa kutokana na mvua inayoendelea kunyesha.
Washichana na watoto wenye ulemavu wamesisitizwa kuzingatia masomo,ili kuondoa dhana kuwa watu wenye ulemavu hawafai kupata elimu.