Rais wa Chad Idriss Deby auawa na waasi akiwa mstari wa mbele
Jeshi la Chad limetangaza kuwa Rais wa nchi hiyo Idriss Deby (68)amefariki baada ya kupata majeraha kwenye mapambano dhidi ya waasi.