Nassir aahidi kutekeleza mpango wa hazina ya mkopo usiokuwa na riba
Sekta ya Bodaboda kaunti ya Mombasa imetawja kuwa miongoni mwa sekta muhimu inayochangia kukua kwa uchumi wa Mombasa.
Sekta ya Bodaboda kaunti ya Mombasa imetawja kuwa miongoni mwa sekta muhimu inayochangia kukua kwa uchumi wa Mombasa.
Mwaniaji wa ugavana kaunti ya Mombasa Abdulswamad Shariff Nassir ameeleza haja ya serikali ya kaunti kutenga mgao wa fedha zaid katika sekta ya biashara ili kuona kuwa biashara ndogo ndogo mjini Mombasa zinaimairika.
Watalili ndio tegemeo kubwa la uchumi kwa wafanyibiashara katika fuo za bahari.
Wakaazi wa mtongwe eneo bunge la Likoni wanaelezea afueni baada ya kufunguliwa kwa kivuko cha ferry ya Mtongwe.
Kenya imepokea mkopo wa shilingi bilioni 27.8 kutoka kwa shirika la fedha la kimataifa la IMF iliyoidhinishwa Aprili mwaka jana.