Gharama ya umeme yapunguzwa nchini
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi -IEBC Wafula Chebukati amesema zoezi hilo linawalenga wakenya wote walio na umri wa miaka 18 na zaidi.
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi -IEBC Wafula Chebukati amesema zoezi hilo linawalenga wakenya wote walio na umri wa miaka 18 na zaidi.
Shirika la ndege la Skyward Express limetangaza safari zake za zaida za ndege za Mombasa na Ukunda.
Wenye mahoteli sasa wanakila sababu ya kutabasamu baada ya watalii kuanza kumiminika katika hoteli zao baada ya kuondolewa kwa curfew.
Wataalam wa mifugo kaunti ya Kwale wanahimiza wakulima wafugaji kukumbatia ufugaji wa mbuzi walioboreshwa aina ya Gala ili kujipatia faida kwa muda mfupi.
Miezi minne baada ya Mamlaka inayoangazia usalama wa bayoteknolojia NBA kuidhisha utafiti wa mihogo ya bayoteknolojia humu nchini, sasa wanasayansi walioanzisha utafiti huo wana kila sababu ya kutabasamu baada ya jaribio la kwanza la mavuno ya mihogo hiyo kutekelezwa.