Wamiliki wa viwanda washauriwa kutumia soko la kikanda na kimataifa
Wamiliki wa viwanda wamehimizwa kutumia fursa ya soko la kikanda na kimataifa ili kukuza biashara zao.
Wamiliki wa viwanda wamehimizwa kutumia fursa ya soko la kikanda na kimataifa ili kukuza biashara zao.
Wavuvi katika kaunti ya Lamu walioharibiwa maeneo yao ya uvuvi kutokana na ujenzi wa bandari wanatarajia kulipwa ridhaa zao kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti 9 mwaka huu.
Jumla ya wanawake na vijana 2,500 kutoka vitongoji duni katika gatuzi dogo la Jomvu kaunti ya Mombasa wanatarajiwa kunufaika mafunzo tofauti ya mbinu tofauti za kujikimu kimaisha.
Bei ya mafuta imeongezwa kwa Ksh9.90 katika tathmini ya mwezi Aprili ya Mamlaka ya Uthibiti wa Kawi (EPRA).
Mamlaka ya Nishati ya Petroli na Udhibiti (EPRA) imetangaza kuongezeka kwa bei ya mafuta.