Wakulima wa Mpunga kusajiliwa ili wapate pembejeo
Wizara ya kilimo nchini imeanzisha zoezi la kuwasajili wakulima wa mpunga ili waweze kusaidika na pembejeo bora ili kuimarisha zao la mpunga nchini.

Huku Mombasa ukiwa ndio mji wa pili mkuu hapa nchini,mji huu umetajwa kama kitovu cha biashara baina ya mataifa ya afrika mashariki na ya kati.