Takribani washiriki 40 wafaidika na mafunzo ya jinsi ya kujikuza kibiashara kupitia mitandao.
Takribani washiriki 40 wa mashindano ya mapishi kupitia mradi wa skills mitaani wamepata mafunzo ya jinsi ya kujikuza kibiashara kupitia mitandao ya kijamii.