Mbunge wa Mvita ajitolea kugharamia ada za masomo za waendeshaji bodaboda Mombasa
Takribani vijana 600 kaunti ya Mombasa watapata mafunzo ya uendeshaji bodaboda.
Takribani vijana 600 kaunti ya Mombasa watapata mafunzo ya uendeshaji bodaboda.
Serikali ya kaunti ya Mombasa imetakiwa kutenga sehemu maalum kuwa soko la watu wenye ulemavu kuweza kuuza bidhaa zao.
Waziri wa kilimo na ufugaji nchini Peter Munya amesema kuna haja serikali za ugatuzi kushirikiana na serikali kuu katika kuboresha mazingira ya kilimo ili kutatua changamoto zinazokumba sekta hiyo kwa sasa.
Biashara ya mabuibui ya mitumba inaonekana kushika kasi katika kaunti ya Mombasa.
Utendakzi katika halmashauri ya bandari nchini unatarajiwa kuimarika pakubwa baada ya halamashauri hiyo kupokea mashine tatu za kisasa za kupakia na kupakua mizigo kwenye meli zinazoingia na kutoka humu nchini kupitia bandari ya Mombasa, ambazo zimegharimu shilingi bilioni 3.3.