Bei ya gesi ya kupikia yapungunzwa
Bei ya gesi ya kupikia imeshuka kwa kati ya Sh100 na Sh250 kufuatia kupunguzwa kwa Kodi ya VAT kutoka asilimia 16 hadi asilimia 8.
Bei ya gesi ya kupikia imeshuka kwa kati ya Sh100 na Sh250 kufuatia kupunguzwa kwa Kodi ya VAT kutoka asilimia 16 hadi asilimia 8.
Serikali imetangaza kupunguzwa kwa bei ya unga wa ugali hadi shilingi 100.
Katika miaka michache iliyopita, Mgandi Pendo, mkulima mdogo katika eneo la Kinango kaunti ya Kwale alianza kuona mabadiliko ya rangi katika udongo wa shamba lake.
Hali ya kiangazi na mabadiliko ya tabia nchi inayokumba sehemu ya nchi,imesababisha kushuka kwa kiasi kikubwa kwa mazao katika miaka ya hivi karibuni. Joto kali zaidi limeharibu mazao na kuongeza magugu, wadudu, na kuvu. Hii imeathiri mapato na kupanda kwa bei za vyakula.
Bei ya bidhaa zote tatu za petroli inatarajiwa kupanda kwa Ksh.9 lita kuanzia saa sita usiku Jumatano katika ukaguzi wa bei ya juu zaidi wa EPRA.