Muungano wa mabaharia nchini SUK utandaa uchaguzi wake wa viongozi wakuu wa muungano huo Juni 24 mwaka huu.

Hii ni baada ya mahakama ya leba Februari 2 mwaka huu kubatilisha uchaguzi wa muungano huo uliondaliwa Aprili 14 mwaka 2021 kwa kukosa kufuata sheria.

Athuman Luchi na taarifa zaidi.