Serikali ya kaunti ya Lamu kupitia wizara ya kilimo na ufugaji inapania kuchanja mifugo wa kaunti hiyo hasa ngombe ili kuwakinga na maradhi mbali mbali msimu huu wa mvua.
Abdalla Mwanyiro na taarifa zaidi.