Jamii ya Somali eneo bunge la Likoni wanaitaka serikali ijayo ya kaunti kuitambua jamii hiyo katika miradi mbalimbali ya maendeleo ya kaunti.
Wakiongozwa na mwenyekiti wao Khadija Mohammed Halake jamii hiyo imeeleza kutengwa katika huduma mbalimbali za miradi ya serikali ya kaunti.