Idara ya usalama kaunti ya Mombasa imewaonya wagombea wa kiti cha ubunge eneo la Nyali Mohammed Ali na Said Abdalla kuhakikisha kuwa wafuasi wao hawazui vurugu wanapofanya kampeni.